Nimejisikia tu...

Biashar
92189be447fa840cb75a7efe351e3625.jpg

Babe ilikuaje ukanifungua vifungo bila me kuona cc Compact a mishuuu...
Biashara matangazo, uzuri ni kwamba humu JF hulipii hata senti moja.
 
Sawa Mkuu. Pamoja mkuu wangu.
Nyumba unayoishi inabidi kuwe na vitu kadhaa kwenye uboreshaji.
*geti kubwa
*mbwa mkali
*vitu vya sokoni na dukani viwe humohumo
*awepo bodyguard in case of emergency
*salon inabidi iwepo humo humo ndani, mashoga(marafiki) hawaaminiki
*utunzaji wa skin yake adimu vitu natural sio mkorogo
 
Hahahhaa! Mkuu kwa mantiki hiyo si hatatoka nje kabisa katika kusaka sarafu za kusongesha gurudumu? Aagh,vyote hivyo hatuna na namuamini sana tu. Aendapo popote mi sina hata haja ya kuwa na hofu yeyote scorpio me ni muaminifu sana,hawezi nisaliti Mkuu!
 
Imani yako imekuponya
Mkuu unafanya vizuri kujiamini na kumpa uhuru na kumjengea uaminifu.

"Yesu akajibu, akamwambia, Mwaminini Mungu."
Marko 11:22

"Na Mungu, ajuaye mioyo ya watu, akawashuhudia, akiwapa Roho Mtakatifu vile vile kama alivyotupa sisi;
wala hakufanya tofauti kati yetu sisi na wao, akiwasafisha mioyo yao kwa imani."
Matendo ya mitume 15:8-9
 
Ahsante sana Mkuu,naona unaelekea kabisa kwenye kunilisha Chakula cha Uzima. Unaanza kuniahawiashi nikupigie debe kwa shemeji.
 
Tazama, jinsi ilivyo vema, na kupendeza,Ndugu wakae pamoja, kwa umoja.” Zab.133:1

Upendo~ni sehemu ya tunda la Roho,.. Wagaratia 5:22

Huwezi kumpenda Mungu usiyemuona ikiwa unamchukia jirani yako unayemuona.“ Mtu akisema, Nampenda Mungu, naye anamchukia ndugu yake, ni mwongo; kwa maana asiyempenda ndugu yake ambaye amemwona, hawezi kumpenda Mungu ambaye hakumwona.Na amri hii tumepewa na yeye, ya kwamba yeye ampendaye Mungu, ampende na ndugu yake.” 1 Yoh.4:20-21
 
Huwa sina tamaa ya kuwazoea wadada kweny social networks.Kwako nimetaman nikuzoee
Elezea vizuri mkuu
*Yani baada ya kumzoea, halafu nini kinafuata
*kingine usiwazoee hao wengine wote kwenye social network umzoee huyu what's so special?
*nipo sekta ya mapokezi (reception), yani kwa kifupi mpambe nimekabidhiwa rungu au mpenda kula kakabidhiwa uandazi.
 
Mkuu,Scopio ni mtu mzima.Keshaelewa ni nin kitaendelea baada ya kumzoea.
Nimependa nimzoee yeye kwa jins alivo(kama kwel ndie yeye huyo)
 
Back
Top Bottom