Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,786
Hahaha... Eti "dume jenzangu" teh tehMmmh, kulisifia dume jenzangu, c mwishowe ntageuka shoga?
Hahaha... Eti "dume jenzangu" teh tehMmmh, kulisifia dume jenzangu, c mwishowe ntageuka shoga?
Hahahaha unajua raha na karaha ya chabo?NIpo KONA hapa tayari kwa chabo uje taratibu ili nifaidi vizuri
Duh! Mimi sina six packs. Sifai au nafaa?ukirudi unitaarifu
Kigugumizi cha nini?nashikwa na kigugumizi sijui kwa nn
Hapana sizijui hebu nisaidie kuzi ainishaHahahaha unajua raha na karaha ya chabo?
HeheHivi ndiyo vitu vinavyonifanya nipende kwanda gym, yaani wakiingia na mabegi yao ninakosa concentration kwenye treadmill.
Kwanin unanifukunyua lakinKigugumizi cha nini?
WTFHizo pesa zenu ndio wanakula na hao wanyanyua vyuma.
Kwahiyo zisake sana maana inabidi utoe pesa za kutosha ili akahudumie na yeye.
Dalili kiu hizo mkuu
Nimependa comments zako, nimekukwaza?Kwanin unanifukunyua lakin
Nin lengo lako has a????
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Hapana ni wasiwasi tu ila nimejiuliza kwa nin au ni Mzee wa miwan na suit nyeusiNimependa comments zako, nimekukwaza?
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Hahahaha mimi sio hatari kwako ila naweza kuwa rafiki mzuri kwako nawe ukawa rafiki mzuri kwangu.Hapana ni wasiwasi tu ila nimejiuliza kwa nin au ni Mzee wa miwan na suit nyeusi![]()
![]()
![]()
![]()
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Mwanaume anaye vaa hereni huwa simwamini ata angekuwa n umbo gani,akinisalimia najikuta kuboreka vibaya mnoAseee
Duu mmeo akiona itakuwaje akat. yeye anakuna turbo kwa mbele imejaa gesi na viepe
Unajisikia 'umerowa' kabla!... we nichukue mm utaacha hata gym!...Hivi ndiyo vitu vinavyonifanya nipende kwanda gym, yaani wakiingia na mabegi yao ninakosa concentration kwenye treadmill.
Huyu ndo namtaka mie
