unataka kufaidi nini?NIpo KONA hapa tayari kwa chabo uje taratibu ili nifaidi vizuri
muonekano na vingine vinavyo ukoga moyounataka kufaidi nini?
unataka kuleta uchochezi wa mwili.muonekano na vingine vinavyo ukoga moyo
uchochezi wa mwili ndio Upo je mkuuunataka kuleta uchochezi wa mwili.
Haha karibu tuusifu uumbajiNdhan hii post inawahusu wanawake.. Nimeingia siko...
Nyie kila siku mnajisikiaHata mimi ntajisikia mda sio mrefu scorpio me
Waache wajipe moyo eti wanaokwenda ni mashoga!!Gym ndo mpango mzima, unajiweka fit, unakuwa na umbo la kiume pia pumzi ya kutosha kwenye zile mambo,
Ujikute tu!Sasa na bae wenu wenye vitambi mnapotuona sisi tukiwa vizuri hivi huwa mnafanyaje sasa? 🙂
Ila awe na pesa bhana...Hahahaaaa!! Unajifanya busyyyy na mazoezi kumbe huna lolote!! Hivi vitu vinavutia jamani, haswa awe kapanda hewani, khaaah!!
Mwambie aongee vizuri aiseeWe uliyajuaje haya!!
Kakimbia hata hajasema!Mwambie aongee vizuri aisee
Unapenda dyudyu za body builders

Mmmh, kulisifia dume jenzangu, c mwishowe ntageuka shoga?Haha karibu tuusifu uumbaji