Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,950
- Thread starter
- #21
Naona umeamua kuwanadi vijana kwa SEPETULE....sio ajabu kesho ukawaona katika magazeti ya Udaku wakiuza nyago....
anaanzaje kuwapata bila permit yanguNaona umeamua kuwanadi vijana kwa SEPETULE....sio ajabu kesho ukawaona katika magazeti ya Udaku wakiuza nyago....
anaanzaje kuwapata bila permit yanguIla huyu kazidi misuli waiii
Yaani acha kabisa!Haha atoto hapo vepee
Hivi ndiyo vitu vinavyonifanya nipende kwanda gym, yaani wakiingia na mabegi yao ninakosa concentration kwenye treadmill.

Hahahaaaa!! Unajifanya busyyyy na mazoezi kumbe huna lolote!! Hivi vitu vinavutia jamani, haswa awe kapanda hewani, khaaah!!Hivi ndiyo vitu vinavyonifanya nipende kwanda gym, yaani wakiingia na mabegi yao ninakosa concentration kwenye treadmill.
Ukitoka hapo moyo burududani, usingizi mororo. Disappointment inakuwa pale yule favourite asipohudhuria, umechoka lakini bado una buy time.Hahahaaaa!! Unajifanya busyyyy na maxoezi kumbe huna lolote!! Hivi vitu vinavutia jamani, haswa awe kapanda hewani, khaaah!!
Hivi ndiyo vitu vinavyonifanya nipende kwanda gym, yaani wakiingia na mabegi yao ninakosa concentration kwenye treadmill.
kama nakuona vileMwenzenu pesa tu
sometime na body kidogo....Hahaaa!! Unajifanya una pumzi na mood ya mazoezi siku hiyo, mara hatokei kabisa!Ukitoka hapo moyo burududani, usingizi mororo. Disappointment inakuwa pale yule favourite asipohudhuria, umechoka lakini bado una buy time.
Hata awe na gutambi anaojiburuza nalo tangu utotoni!!Mwenzenu pesa tu
We uliyajuaje haya!!Bahati mbaya zaidi most of this model with well built body huwa ni gays...sad with that!
Ila thubutu yako ukute njemba iko hivi afu iko straight yaani mashine ni makostamina ikukamate...papuchi huwa inakuwa colourless kwa show ya kibabe all night long!
Get em at your own risk!
We uliyajuaje haya!!
nami nasubiri jibu