Nimejiondoa wakuu, msaada wa ufafanuzi tafadhali

Nimejiondoa wakuu, msaada wa ufafanuzi tafadhali

NALO LITAPITA

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
333
Reaction score
90
Samahani Wakuu pengine si jukwaa halisi kwa post yangu, nimeamua kujiondoa Facebook na nilifuata hatua zote ambazo pia nilizisoma kwenye jukwaa hili namna ya kujiondoa facebook. Nimeelekezwa kwamba account yangu itafutwa permantelly baada ya siku 14 kama sito log in ndani ya siku hizo.
SWALI. JE KILA KITU NILICHOPOST NA COMMENT ZOTE NILIZOCOMMENT KWENGE GROUPS MBALIMBALI ZITAFUTWA KABISA? HII NI KWA MAANA KUWA KWA SASA NIKIANDIKA JINA LANGU GOOGLE KWENYE OPTION ZINAZOKUJA NI PAMOJA NA COMMENT ZANGU ZA FACEBOOK JE ZITAFUTWA KABISA?
 
Kama umejiondoa facebook umekua! Mengine watakushauri/kukuzodoa marafiki zako uliowakimbia huko....
 
Umefanya jambo zuri sana natumaini hapo ulipo umeshakua kwakua FACEBOOK kwangu mimi ni ya Watoto!
 
Watu hamuelewi maana wala umhimu wa facebook, hii JF yenyewe bila facebook ingekuwa hapa?. Kama hujuwi jambo uliza utaelekezwa.

Mleta mada subiri siku 14 zipite ila siyo data zote hufutwa, zipo ambazo facebook huendelea kuzishikiria kwa muda wote kwa sababu za kiusalama endapo zitahitajika hapo baadaye. By the way umechukuwa uamuzi mbovu bila kujuwa labda kama ulikuwa unafanya maasi na hiyo account yako ila kama siyo nakushauri uahirishe jambo hilo.
 
Nakubaliana na wewe mkuu...bado sijakiona kinachofanya fb ionekane ya kitoto,na hakuna aliyekuja na vithibitisho kuonesha utoto wa fb.
Watu hamuelewi maana wala umhimu wa facebook, hii JF yenyewe bila facebook ingekuwa hapa?. Kama hujuwi jambo uliza utaelekezwa.

Mleta mada subiri siku 14 zipite ila siyo data zote hufutwa, zipo ambazo facebook huendelea kuzishikiria kwa muda wote kwa sababu za kiusalama endapo zitahitajika hapo baadaye. By the way umechukuwa uamuzi mbovu bila kujuwa laba kama ulikuwa unafanya maasi na hiyo account yako ila kama siyo nakushauri uahirishe jambo hilo.
 
Nakubaliana na wewe mkuu...bado sijakiona kinachofanya fb ionekane ya kitoto,na hakuna aliyekuja na vithibitisho kuonesha utoto wa fb.

hawajielewi hao wanaoongea hayo. kuna watu wanaingiza mamilioni ya pesa kila siku kupitia facebook ila watz wengi wanajuwa kuuza sura tu ndiyo maana hawaoni faida yake na pengine si kosa lao.
 
Samahani Wakuu pengine si jukwaa halisi kwa post yangu, nimeamua kujiondoa Facebook na nilifuata hatua zote ambazo pia nilizisoma kwenye jukwaa hili namna ya kujiondoa facebook. Nimeelekezwa kwamba account yangu itafutwa permantelly baada ya siku 14 kama sito log in ndani ya siku hizo.
SWALI. JE KILA KITU NILICHOPOST NA COMMENT ZOTE NILIZOCOMMENT KWENGE GROUPS MBALIMBALI ZITAFUTWA KABISA? HII NI KWA MAANA KUWA KWA SASA NIKIANDIKA JINA LANGU GOOGLE KWENYE OPTION ZINAZOKUJA NI PAMOJA NA COMMENT ZANGU ZA FACEBOOK JE ZITAFUTWA KABISA?

.
.
HOW TO ERASE YOURSELF FROM THE INTERNET
.
 
Facebook inaweza kuwa au isiwe ya kitoto kutokana na marafiki ulionao,Groups ulizojiunga,likes ulizofanya,so wewe mwenyewe ndio utaifanya facebook iwe ya kitoto au la,vinginevyo sioni kama ni sawa ku generalize facebook ni ya kitoto! hata JF inaweza ikageuzwa ya kitoto kulingana na interest zako juu ya jukwaa fulani,mfano Jokes/Utani + Udaku/Gossips Forums n.k
 
mkuu usihofu kila kitu kitafutwa, kama huamini baada ya siku na nne kupita jaribu kugoogle uone kama kutakuwa na details zozote
 
Facebook watafuta kila kitu ulichopost kasoro msg ulizowatumia watu na chat msgs.

Ila hili halimaanishi kuwa pia comment zako zitafutika Google anytime soon, maana Google wanahifadhi copy yao ya content ya site kila wanapoipitia. So inaweza bado ikaonekana kwenye google results ila mtu atakapo click kutakuwa hakuna kitu kwenye page yenyewe.
 
JIONDOE FB KWA UJINGA WA KUPACHIKWA NA WATU nipo fb, miaka mingi na nimenufaika sana(financially) kila mtu aangalie social network gani inamfaa kulingana na matakwa yake.. me najua kwanini watu wanaiponda fb na kuipa JF kipaumbele kwanza wanaona FB wanajianika kwa kupost /kushare/kulike vitu visivyo na tija kwake. kuliko JF kwamba anajijua hata afanyeje hajulikani na mtu.. kunautofauti mkubwa sana kati ya JF na FB... so acheni dhihaka nyie watu... ukijito jitoe kwa kulike hadi post za msiba ila wenzio tunatusua..
 
.
Are you serious?
.

namjibia..

ITS TRUE..
KUNA PAGE YA JF KWENYE FB,AMBAYO INAWEKA HINT ZA HABARI NA KUTOA LINK YA HABARI HUSIKA,HALI HYO HUSABABISHA WATU WENGI KUJIUNGA NA JF...
PIA KUNA WATU WANAWEKA HABARI FB THEN CHINI WANAANDIKA SOURCE::JF,HIVO WATU HUJIKUTA WAKIJIUNGA JF..
 
Ndio hawa huacha kuvaa nguo za ndani kisa fulani kafanya,wanataka kutuambia kila aliyeko bf ni mjinga au mtoto....... hata hapa jf kuna watu wanapaona ni sehemu ya mipasho nowdays
Watu hamuelewi maana wala umhimu wa facebook, hii JF yenyewe bila facebook ingekuwa hapa?. Kama hujuwi jambo uliza utaelekezwa.

Mleta mada subiri siku 14 zipite ila siyo data zote hufutwa, zipo ambazo facebook huendelea kuzishikiria kwa muda wote kwa sababu za kiusalama endapo zitahitajika hapo baadaye. By the way umechukuwa uamuzi mbovu bila kujuwa labda kama ulikuwa unafanya maasi na hiyo account yako ila kama siyo nakushauri uahirishe jambo hilo.
 
Facebook inaweza kuwa au isiwe ya kitoto kutokana na marafiki ulionao,Groups ulizojiunga,likes ulizofanya,so wewe mwenyewe ndio utaifanya facebook iwe ya kitoto au la,vinginevyo sioni kama ni sawa ku generalize facebook ni ya kitoto! hata JF inaweza ikageuzwa ya kitoto kulingana na interest zako juu ya jukwaa fulani,mfano Jokes/Utani + Udaku/Gossips Forums n.k

Umesahau jukwaa la siasa mkuu.
 
I'm with My Friends having Fun
Near Masaki via Black Berry smartphones
 
Back
Top Bottom