Mipango mingine ya kitoto kweli, yaani mpaka wiki iishe kutakuwa na watu wanajisajili kila siku na kuandika kuwa wanajitoa Chadema ......wengine hata hapa jamvini ukiangalia waliowahi kuandika kitu gani chenye substance huwezi kukuona , ila wanafikiri na wao ni w u muhimu ...........mipango ya kitoto kama ule mchezo wa KOMBOLELA ....
Ndio mnavyowapumbaza wananchi na wanachama wenu ili muachiwe nafasi ya kuiba kwa utulivu?kama ukijiunga na chama cha siasa kwa maana ya kutafuta ajira! Hakika utakuwa wa kwanza kugusa hesabu za fedha na kutaka kujua jua wapi hela ipo ndani ya chama! Sasa kama kweli CAG na Msajili wa vyama wana power ya kutoa order, then walikuwa wapi kuwapa Offence Chadema I mean Hati ya Makosa kwa kushindwa kuwasilisha mahesabu! Funguka wewe, open Up ur mind, hizi ni propaganda! Fikiria nje ya boksi!
ndiyo ,nimejiondoa
kwenye chama cha ubabaishaji ,viongozi wanabariki matusi kwa viongozi
wenzao ...nilijiunga chadema mwaka 2010 nikiwa na matumaini makubwa lkn
sasa mhhhh
c cm damu na siami
yaani ninavyokupenda mwigulu ni hapo tuu..ww ni mkweli sana..ningekuwa na dada ningekupaa..asante kamadaaaa
Usikonde mkuu huyu jinga namjuwa vyema kwa jina lake halisi na namba yake ya simu. Kaa kwenye hii thread usiondoke subiri uone wanafki huwa tunawakomesha vipi.
Huyu jamaa anafanya watu hawana akili.
Hizi ni baadhi ya posts zake alizopost huko nyuma.
Zote alipost alipost July 2013.
Leo amejifanya yeye ni chadema anajiondoa. Mods kuweni makini na watu kama hawa.
ngoja nikusaidie kulivuta mscheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeew!!!!!!Wanashusha hadhi ya JF kwa kiwango cha kutisha na cha kushangaza hizi threads muflisi zinaachwa tu kuendelea kuwepo. Pumbaf kabisa msonyo mrefu.
Nenda salama.............. Ulidhani kuna kuganga njaa huko?ndiyo ,nimejiondoa kwenye chama cha ubabaishaji ,viongozi wanabariki matusi kwa viongozi wenzao ...nilijiunga chadema mwaka 2010 nikiwa na matumaini makubwa lkn sasa mhhhh
we utakuwa mfuasi wa lema
H.A.P.A.N.A,ni mfia NCHI tu Mkuuu
Wasalimie, tutaweka tanga ndugu tundiyo ,nimejiondoa kwenye chama cha ubabaishaji ,viongozi wanabariki matusi kwa viongozi wenzao ...nilijiunga chadema mwaka 2010 nikiwa na matumaini makubwa lkn sasa mhhhh
ndiyo ,nimejiondoa kwenye chama cha ubabaishaji ,viongozi wanabariki matusi kwa viongozi wenzao ...nilijiunga chadema mwaka 2010 nikiwa na matumaini makubwa lkn sasa mhhhh