Nimejiondoa rasmi CHADEMA

Chadema :msela: ni chama :msela: cha :msela: makamanda:msela: :msela:😛eace::msela:
 
unaweza kuwa sahihi lakini fikiria haya:
1. Mkipanga Zitto anaripoti
2. Kesi ya Lwakatare jamaa anasema afukuzwe kisa anafahamu maovu yake
3. Wabunge wote wanamchukia Zitto

huwezi kuwa na shetani unaishi naye ukafika mbinguni.
 
Last edited by a moderator:

Cha:msela:😛eace😀e😛eace::msela:Ma😛eace::msela:
 
kila la heri mkuu...Kwenye Nyoka hata kenge wapo...umeondoka wewe watakuja na kuondoka wengine..
 
Mods, Paw huyu kijana anatukana sana.

Wewe huna akili soma sheria na kanuni za JF wacha kukurupuka, wewe ndio unastahili kupigwa ban kwa uzushi hapa JF.

Kwa taarifa yako IP adress yako unayotumia inajurikana na wenzako wanakuchora unavyojitekenya na kujichekesha.

Sasa muombe huyo Paw wako ruhusa nikutaje jina lako hapa na namba yako ya simu niiweke hapa.

Usijaribu kucheza na mimi hata dakika moja utahadhirika.
 
Last edited by a moderator:
ndiyo ,nimejiondoa kwenye chama cha ubabaishaji ,viongozi wanabariki matusi kwa viongozi wenzao ...nilijiunga chadema mwaka 2010 nikiwa na matumaini makubwa lkn sasa mhhhh

waliondoka kina Shitambala, Mwampamba, Shoza walio kuwa viongozi ndiyo kwanza chama kinapata nguvu kubwa sembuse wewe

nenda tuu....
 
ndiyo ,nimejiondoa kwenye chama cha ubabaishaji ,viongozi wanabariki matusi kwa viongozi wenzao ...nilijiunga chadema mwaka 2010 nikiwa na matumaini makubwa lkn sasa mhhhh
Wewe nani kwani?
Nini umeifanyia CDM mpaka uhisi kuondoka kwako kutaleta Pengo? ?

Halafu tutaamini vipi kwamba ulikua CDM na sio Mwana - Buku 7 FC??
 
Mkuu hizi ni siasa tu usipanic,ninajua uliipenda sana Chadema lakini mungu kaipenda zaidi.R.I.P magwanda
 
kawasalimie magamba wenzio
Kuna watu ambao walikuwa wamekaa mlangoni ili kuwazuia mamia wasiingie. Kuondoka kwao ni heri kwani sasa mamia aliokuwa anawazuia wataingia! Na wengine kama huyu huu ni wakati muafaka kuondoka. Ondokeni ili mamia wengine wajiunge na CDM!
 
Wewe nani kwani?
Nini umeifanyia CDM mpaka uhisi kuondoka kwako kutaleta Pengo? ?

Halafu tutaamini vipi kwamba ulikua CDM na sio Mwana - Buku 7 FC??
Jamani uvulimu tafadhali ninajua inauma kuondokewa lakini ndio mipango ya Lema
 
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai.

Vijana werevu wameshatambua hilo na wanajitoa mmoja baada ya mwingine.

Chama kinachojiita cha demokrasia hakiwezi kuficha hesabu za mapato na matumizi...

hii kibwagizo chako nakuona kama kasuku huna jipya
 
Hee hiki Chama sasa mbona kitabaki Magofu tu, hata nyie Wachagga mumeanza kuondoka?
 
Jamani uvulimu tafadhali ninajua inauma kuondokewa lakini ndio mipango ya Lema
Mpango wa Elimu Kwa Walioikosa (MEMKWA) unakuhusu sana we Mkata Mauno. Rekebisha Herufi na Ujifunze Silabi na Nomino. Usisahau Elimu YA NUKTA pia.
 
Mkuu hizi ni siasa tu usipanic,ninajua uliipenda sana Chadema lakini mungu kaipenda zaidi.R.I.P magwanda

Sina tatizo na wewe, ni mwanaCCM na umejipambanuwa hivyo.

Napenda sana mijadala yenye afya kisiasa ila mtu akijifanya yeye ni mjuaji sana nyuma ya keyboard kumbe anatambulika basi tukiamuwa hamtoamini macho yenu.

Tunaheshimu tu sheria za JF. Take my word.
 
Cheza Mpira wewe Gamba,
Wacha kulialia kwa Refa kila mara, unaharibu mchezo.

Usikonde mkuu huyu jinga namjuwa vyema kwa jina lake halisi na namba yake ya simu. Kaa kwenye hii thread usiondoke subiri uone wanafki huwa tunawakomesha vipi.
 
ndiyo ,nimejiondoa kwenye chama cha ubabaishaji ,viongozi wanabariki matusi kwa viongozi wenzao ...nilijiunga chadema mwaka 2010 nikiwa na matumaini makubwa lkn sasa mhhhh

Nawe nakupa pongezi hizi hizi nilizompa mwingine aliyetoka kuzimu:

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…