Nimejiokotea dodo ila ndani funza tupu

Nimejiokotea dodo ila ndani funza tupu

Ndio mana nashindwa kuwaamini wanaolalamika HALI NGUMU!
 
Ndio maana wanasemaga mjini gharama. Matumizi ndio kma hayo. Toandugu toa.
 
Kizuri gharama, hutaki acha tafuta madunge
 
Kizuri gharama, hutaki acha tafuta madunge
 
Kama umegegeda achana nae mjinga huyo hajakuzimia wala nini alikuwa anakuchora kama unaweza kumuweka hapa mjini,bwagaa!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom