Nimejiokotea dodo ila ndani funza tupu

Nimejiokotea dodo ila ndani funza tupu

Ile kauli ya Joyce Kiria imeanza kufanya kazi na sasa naona fursa zinachangamkiwa sana.
MUJINI MSINGI KIUNO,UKISHAGONGA NDO BYEBYE.
MWANAUME PESA SIKU HIZI MWANAMKE MAKALIO NA GOOD LOOK...
UKIJIFANYA HANDSOME YEYE ANAJIFANYA BEAUTY AMBAYE SI WA LEVEL ZAKO.
ENDELEA KUMWAGIKA MKUU HAKUNA NAMNA AU NAWE UNAANDA BAJETI KAMA YA KUHAMIA DODOMA?
 
ilikuwa siku ya sikukuu ya idd niliamua kupumzika nikaenda kupata kinywaji kwa glosary moja maeneo ya karibu na kwangu

Nikiwa nimekaa kama dakika kumi akaja msichana mmoja mrembo sana,alikua ni ndugu wa muhudumu wa pale glosary,,yule msichana alikuwa akinitazama mpaka macho yangu yalikosa balance,

Alipozidi kuniangalia sikua na hiana nikamuita akaja fasta na bila kuogopa alinambia jinsi alivonizimia,ila sasa tatzo lake amenifanya ATM tangu idd mpaka leo ye ni kunibangua mipesa tu.mpaka anakera

Vp n ww umekula tunda tayri????nakama tayri ni mara ngapi?
 
Hii nayo n habari ya kuleta huku? Huko kwenu hakuna mtu wzima wa kuwashauri watoto?
 
Glossary grocery? Kweli waTZ tuna laana. Lugha huiwezi ci uache tu? Ulishikiwa fimbo kuandika? Ni sheeeeeeeedah
 
Sasa MKUU unalalamika nn kuombwa hela? Karibu wadada wote mjini siku hizi ni wajasiliamali, wakiongozwa na mdada anayejiita superwoman na kitega uchumi chao kikuu ni K
 
sasa unalalamika mapema hivyo? uwezo wako ni wa bito mbona umechukua range v10? vumilia na kuwa na msimamo, naimani unampenzi wako wa zamani ungekuwa naye kwenye moja mbili zako maisha yangeendelea kuwa buruduni kulivyo unavyolalama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom