Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,818
- 78,516
Sasa ndo nini kwamba ataacha kula kachori?Mpe mimba nyingine mkuu
Sasa ndo nini kwamba ataacha kula kachori?Mpe mimba nyingine mkuu
Acha kujishaua na punguza Nyodo..unaitaje chakula uchafu.Yan 10k kabisaa kwenye huo uchafu!!!??
Ila ngisi ni mtamu pweza hagusi hapo.Usiombe kabisa. Mimi nasemaga kabisa leo hata nipite maeneo haya sitokula pweza sjui ngisi,sjui kachori
..ila daaaaah tartiiiiib najikuta nakumbuka nikishamaliza kula kama niliweka ahadi ya kutokula.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kachori zinasababisha mtoto asiwe wangu?
Wanapiga si kitoto mkuuDah!!!,Wanaofanya biashara hii watakuwa wanapiga hela Sana,kakipande kadogo utasikia jero.Mkia mzima watakwambia 3500 au 4000.
Muache mkuu huyo ni wcb hawezi kula uchafu wetu huuHiyo ni bonge la msosi.
Uchafu kwake mkuu acha tupambane na uchafu wetuAcha kujishaua na punguza Nyodo..unaitaje chakula uchafu.
Ngisi nilimfaidi bagamoyo.Ila ngisi ni mtamu pweza hagusi hapo.
Aongeze kula kachori ili achochee uchumi wa kati.Sasa ndo nini kwamba ataacha kula kachori?
Sasa kama umezoea wewe kujishaua na umejaa nyodo bas unadhan hiyo ni character ya kila mtu asiyekubaliana n mapendekezo yako!!?kwel vijana mna misongo ya mawazoAcha kujishaua na punguza Nyodo..unaitaje chakula uchafu.