donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
[emoji2][emoji2]
Vidude vya kipumbavu Sana hivi! Hata Mimi yamenikuta juzi[emoji2][emoji2]View attachment 2064350
Huto ndiyo tunini?Huwa mnakula au mnalamba?[emoji2][emoji2]View attachment 2064350
Uchafu kwako kwa wengine chakula!Yan 10k kabisaa kwenye huo uchafu!!!??
Kwa hiyo ni chakula cha wajawazito?Praise the Lord!Mke wangu akiwa na mimba anakula sana hizo kachori
Subhanallah!Naona umevaaa viatu vya wadada wa Ngarenaro (kandambili) mkuu.
Kama uchawi mkuuVidude vya kipumbavu Sana hivi! Hata Mimi yamenikuta juzi
Zina utamu wake balaaMke wangu akiwa na mimba anakula sana hizo kachori
Pweza na kachori mkuuHuto ndiyo tunini?Huwa mnakula au mnalamba?
Asante mkuu. Watu wanadharau sana aiseeUchafu kwako kwa wengine chakula!
Ndio mkuu, Sina makuuNaona umevaaa viatu vya wadada wa Ngarenaro (kandambili) mkuu.
Check PMNdio mkuu, Sina makuu
Umaskini mbaya sana sasa mimi unikute njiani nakula huu uchafu unaoshikwa na nzi kweli tumetofautiana maisha.[emoji2][emoji2]View attachment 2064350
[emoji2][emoji2]View attachment 2064350