Nimejikuta namaliza elfu kumi nzima...!!!

Nimejikuta namaliza elfu kumi nzima...!!!

Inaniuma sana huyu mzee Kasie anazeeka bila kuzaa wala kuolewa yani anakufa na bikr yake.....sijapenda
Tungekuwa wote, mie elf 10 yangu ingeishia kwenye beseni la Zabibu na beseni la embe 😋😋😋.
 
Tungekuwa wote, mie elf 10 yangu ingeishia kwenye beseni la Zabibu na beseni la embe 😋😋😋.
Happy New year Sweetheart

Nimekumisi leo kama Jana...

Njoo uchukue embe mbichi nimezinununua Korogwe wakati natoka kuhesabiwa...
 
Happy New year Sweetheart

Nimekumisi leo kama Jana...

Njoo uchukue embe mbichi nimezinununua Korogwe wakati natoka kuhesabiwa...

Wooow Big Sam mmmmuaaahhh...!!!

I love you big and more....😉

Najaaa fastaa ngoja ninyooshe kanyelamumo ....
 
"Lumbulumbu" hatari hivyo vitu, unabugia unabugia kutahamaki 7 elfu imekata, sisi wavivu wa kula wadokoaji dokooaji huwa tunatumia pesa nje ya bajeti.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tungekuwa wote, mie elf 10 yangu ingeishia kwenye beseni la Zabibu na beseni la embe [emoji39][emoji39][emoji39].
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] haipingwi dada kasie matata
 
Usiombe kabisa. Mimi nasemaga kabisa leo hata nipite maeneo haya sitokula pweza sjui ngisi,sjui kachori
..ila daaaaah tartiiiiib najikuta nakumbuka nikishamaliza kula kama niliweka ahadi ya kutokula.
Yaaan vina ushawishi mkuu
 
Back
Top Bottom