Nimejibana na zipu kwenye uume

Nimejibana na zipu kwenye uume

Los santos

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2021
Posts
1,190
Reaction score
2,652
Habarini wadau ,nilikuwa nimeenda kujisaidia haja ndogo sasa katika haraka haraka za Kuwai nikajibana na zipu ngozi ya chini ya uume na katika kutumia nguvu kutoa nikasababisha msuguano ambao umeleta kidonda

Sasa nataka mnisaidie nitumie mbinu gani pakauke mapema ,manake naona nikienda kuoga kama ndo panaanza kulainika tena au nikisimamisha mashine ngozi inajivuta panaanza kuleta ulaini tena badala ya kukauka
 
Uwe unavaa chupi au boxer mkuu
 
Hakuna chainsaw jirani?
 
Dah, heb fwata ushauri wa daktari akushauri dawa sahihi ya kukausha kidonda.
Nenda hata Dukakis la dawa.

ila last time nimejibana na zipu hiyo kitu nilikua shule, nikapqndwa hasira na kwenda moja kwa moja kubeba begi darasani nikawa naenda nyumbani, MWALIM ANAULIZA UNAENDA WAPI NAMWAMBIA NAACHA SHULE....... Yan nlipomweleza kuwa nimeumia hiyo kitu akaniacha akasema nirudi kesho yake
 
Habarini wadau ,nilikuwa nimeenda kujisaidia haja ndogo sasa katika haraka haraka za Kuwai nikajibana na zipu ngozi ya chini ya uume na katika kutumia nguvu kutoa nikasababisha msuguano ambao umeleta kidonda

Sasa nataka mnisaidie nitumie mbinu gani pakauke mapema ,manake naona nikienda kuoga kama ndo panaanza kulainika tena au nikisimamisha mashine ngozi inajivuta panaanza kuleta ulaini tena badala ya kukauka
Pole sana mkuu. Itabidi sasa uanze kuvaa kondomu rasmi.
 
Habarini wadau ,nilikuwa nimeenda kujisaidia haja ndogo sasa katika haraka haraka za Kuwai nikajibana na zipu ngozi ya chini ya uume na katika kutumia nguvu kutoa nikasababisha msuguano ambao umeleta kidonda

Sasa nataka mnisaidie nitumie mbinu gani pakauke mapema ,manake naona nikienda kuoga kama ndo panaanza kulainika tena au nikisimamisha mashine ngozi inajivuta panaanza kuleta ulaini tena badala ya kukauka
Dah...😂😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom