Nimejaribu nimeshindwa

Kuingia JF bila kupita jukwaa LA mapenzi Nimejaribu nikashindwa!!!
 
Nashangaaga watu wanaotumia hiyo kama kiashiria ya mahusiano Yao kuwa mazuri.

Me I'll never do that kwa kweli
Hapana aisee..Kujisitiri ni pamoja na vitu kama hivyo..Mi kwangu hiyo ni ishara kwamba mtu hajiheshimu
 

hayo yote me bado sijajaribu
 
Who cares!!?
 
Kusex kwa mda wa dkka 3 bila kupz NMEJARIBU NMESHINDWA
 
Napenda sana sababu yakibamia ni NIMEJARIBU NIMESHINDWA
 
Kumpenda asiye na hela NIMEJARIBU NIMESHINDWA
kupenda team kibamia NIMEJARIBU NIMESHINDWA
kumpenda mwanamume mwembamba na mfupi NIMEJARIBU NIMESHINDWAAAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…