Nimejaribu nimeshindwa, Sasa nimeamua kuoa!

Usikubali kushindwa kirahisi, bado mudaa unao ndugu kwani umeambiwa mwisho wa dunia ni kesho! Fight back.

Lakini hongera kwa huamzi wako, lakini sitegemei uzi kutoka kwako unao husu kujutia ndoa!

Nategemea uzi kutoka kwako una husu
"UTAMU WA NDOA AU UTAMU WA WASICHANA WA MSUMBIJI"
Usijali mkuu!
 
Mpango wangu wa kutaka mwanamke wa kihindi umegonga mwamba.
Nimejaribu kwa wanawake wanne akiwemo na yule aliyewahi kuniminya
mkono kule posta, watatu wamenikataa huku mmoja akisita kutokana
na hofu ya familia yake na kitisho cha kurudishwa India kama alivyofanyiwa
dada yake ambaye alichumbiwa na Mpemba.
Imeniuma sana maana zoezi lote hilo nimeambulia kujifunza kihindi tu
kama nilivyoshauriwa na wadau hapa jukwaani.

Kwa sasa nimepata mwanamke wa Msumbiji ambaye baba yake ni mreno (Hamjui)
mama yake ni mwafrika. Na ninakukaribisheni (angalau muhudhurie kwa roho zenu)
katika ndoa itakayofanyika Jumamosi ya Tar 29/12/ 2012 Mungu akipenda.
Ndoa itafanyika Mweda au Nangadi kutokana na makubaliano ndugu wa bi Harusi
mtarajiwa. KARIBUNI SANA.
Ungekuja Zenji pengine ungefanikiwa kwani huku hata kama muhindi atarejeshwa kwao basi utapanda gari kumfuata huko aliko (Makunduchi)
 
Hivi wewe kama unataka au umeoa nini huwa kinakuvuta kwa huyo mtu?
Nikijibu swali lako, hata kama familia itapata kipato bado nitakuwa naye.

kinachonivutia ni upendo tu na kkwangu upendo huwa hauna sababu kama ulivyosema wew
 
Na ukishaoa, talaka iweke kwenye mfuko wa shati kabisa,,,,akizingua tu! anayo!!!!!!
kila la kheri mkuu!
 
hahahaa,pole!siku zote sio rahisi masikio ya binadamu kuzidi kichwa!karibu kwa weusi wenzetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom