Nimejaribu kumuacha lakini bado msumbufu

Huyu binti bado sijamuelewa lengo lake haswa ni lipi, mana kila nikijaribu kumpotezea basi itapita hata miezi mitano utashangaa anarudi na swaga zilezile za mapenzi, hatujawahi kuwa wapenzi na wala sijawahi kumuhonga hata mia.

Nifanyaje ili aamini siwezi kuwa nae
?

lengo lake anataka uwe mpenzi wake

usiwe naye ndo atajua kuwa huwezi kuwa naye
 
Huyu binti bado sijamuelewa lengo lake haswa ni lipi, mana kila nikijaribu kumpotezea basi itapita hata miezi mitano utashangaa anarudi na swaga zilezile za mapenzi, hatujawahi kuwa wapenzi na wala sijawahi kumuhonga hata mia.

Nifanyaje ili aamini siwezi kuwa nae
?

sio ugegede hyo papuchi wewe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom