rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,113
- 18,744
sasa huku uswazi ni mahali pake. wadada sasa mpaka nawashangaa aisee. uswazi kuna vituko
mie wananikeraga wale wacheza uchi mtu anacheza hadi nguo anavua bila kujali smartfone zachukua video na picha.