Nimejaribu kumuacha lakini bado msumbufu

mie ninakikundi special kwa misuto...nakupa OFA sie tupo10 tununulie madira tu na address yake bila kusahau namba ya simu
Nakuagdi kakaangu hatakufuata tena baada ya siku ya tukio mpaka anakufa!

Ha ha haaaa Mamaaaa misuto Special...
Kuanzia leo rubii ntakuwa nakuita Mamaa Misuto Special....
Njoo nikutengenezee kampuni tuisajili kabisa na Advertisement tufanye inaelekea tutapata wateja kwa hii kitu.

Daaaaah JF bana!
 
Last edited by a moderator:
Shangaa group?? wanasutwa na mziki mnene kama ubatizo na keki anakata anatulisha...wewe leta kazi ufanisi utaupata eneo la tukio

siku hizi kuna mambo sana. hasa huku uswahili kwetu
 
Ha ha haaaa Mamaaaa misuto Special...
Kuanzia leo rubii ntakuwa nakuita Mamaa Misuto Special....
Njoo nikutengenezee kampuni tuisajili kabisa na Advertisement tufanye inaelekea tutapata wateja kwa hii kitu.

Daaaaah JF bana!

ahaaaaa kwa daslam hii kitu ni ya kawaida sana kampuni za misuto zipo kibao wewe waulize wanaoishi uswazi manzese mpaka na mc anakuwepo.
 
Last edited by a moderator:
ahaaaaa kwa daslam hii kitu ni ya kawaida sana kampuni za misuto zipo kibao wewe waulize wanaoishi uswazi manzese mpaka na mc anakuwepo.

Hili ni bonge la business idea sema limekaa kiuswahiliniswahilini............
 
Ha ha haaaa Mamaaaa misuto Special...
Kuanzia leo rubii ntakuwa nakuita Mamaa Misuto Special....
Njoo nikutengenezee kampuni tuisajili kabisa na Advertisement tufanye inaelekea tutapata wateja kwa hii kitu.

Daaaaah JF bana!

kampuni ipo full!!!vifaa na wafanyakazi wapo tusaidiane kwenye usajili na matangazo mitaa ya ushuani huku ilala,gomz, tandika, manzese, tandale kwa mama chibu bila kusahau kigogo luhanga kote tunamawakala
 
Last edited by a moderator:
kampuni ipo full!!!vifaa na wafanyakazi wapo tusaidiane kwenye usajili na matangazo mitaa ya ushuani huku ilala,gomz, tandika, manzese, tandale kwa mama chibu bila kusahau kigogo luhanga kote tunamawakala

Na jina la kampuni napendekeza liwe ''RUBII MISUTO MISUTANO COMPANY LIMITED'' kwa kifupi RMMCL
 
mie ninakikundi special kwa misuto...nakupa OFA sie tupo10 tununulie madira tu na address yake bila kusahau namba ya simu
Nakuagdi kakaangu hatakufuata tena baada ya siku ya tukio mpaka anakufa!

Ni bei gani kusuta? Nasikia kuna mpaka keki siku hizi, anaesutwa hupelekewa keki yenye ujumbe unaomuhusu jee hii ni kweli?

Ama kweli bongo kuna ubunifu wa ajira!
 
mie ninakikundi special kwa misuto...nakupa OFA sie tupo10 tununulie madira tu na address yake bila kusahau namba ya simu
Nakuagdi kakaangu hatakufuata tena baada ya siku ya tukio mpaka anakufa![/QUOTE

hii kubwa kuliko hyo ni NGOs imesajiliwa kbsa na mnalipa kodi???ebu jarib kunisuta niwatafutie kazii rubii
 
Ni bei gani kusuta? Nasikia kuna mpaka keki siku hizi, anaesutwa hupelekewa keki yenye ujumbe unaomuhusu jee hii ni kweli?

Ama kweli bongo kuna ubunifu wa ajira!

Bei maelewano pia kuna package tofautitofauti....keki anapelekewa na ataikata mwenyewe atake asitake!!!
maji atamwagiwa pia kama hakutakua na wine wala shampein
bila kusahau uwepo wa kameraman akichukua picha na video za matukio toka ofisini mpaka kwa msutwaji kama ushahidi kwa bosi
kitarumbeta nacho kuvutia wapita njia na kupandisha mzuka wasutaji
Mc kwaajili ya matangazo
MJINI MIPANGOoo!!!
Apo kampuni1 imeshaajili watu zaidi ya20
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom