mfate42
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 4,061
- 4,847
Huyu binti bado sijamuelewa lengo lake haswa ni lipi, mana kila nikijaribu kumpotezea basi itapita hata miezi mitano utashangaa anarudi na swaga zilezile za mapenzi, hatujawahi kuwa wapenzi na wala sijawahi kumuhonga hata mia.
Nifanyaje ili aamini siwezi kuwa nae?
Nifanyaje ili aamini siwezi kuwa nae?