Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 9,029
- 35,766
MkuuHaya mambo yanatia hasira sana,hasa unapokutana na jambo kama hili kwa mtu unayemwamini na kumpenda,inakatisha tamaa kwa kweli!!
Binti asiye na hofu ya Mungu wa kazi gani sasa.
Tafuta binti mcha Mungu.
Mwanamke anatakiwa awe nuru ya kuisogeza familia usoni kwa Mungu.
Sasa huyo atapeleka nyumba kuzimu.