mamaa fetty
New Member
- Mar 15, 2014
- 1
- 1
hujui unachokiongea KAMA SYSTEM IPO COMPLETE wasingehitaji ma it alafu msimdanganye mwenzenu kama customer care analipwa zaidi ya 245 graduate atalipwaje iyo au mnamkatisha tamaa asiende interview bz na nyie mmeitwa interview?
Ivi 250,000 utaishije dar?
mi kama dada yako nakushauri nenda kafanye interview tena kwa umakini maisha ni magumu yaweza fika kipindi ukatafuta kazi ya mshahara wa laki moja na nusu nenda ukaangalie hali ya hewa maisha ni kutafuta nenda huku unaangalia mishe nyingine zikijipa unasepa unaenda kwengine
Mkuu mikoani watu wana maisha mazuri kuliko DarKuna watu wanaishi kwa 120,000 na maisha yanasonga. Dar akili siyo hela, mikoani nguvu na si akili.
Karibu sana dar ujifunze maisha
mi kama dada yako nakushauri nenda kafanye interview tena kwa umakini maisha ni magumu yaweza fika kipindi ukatafuta kazi ya mshahara wa laki moja na nusu nenda ukaangalie hali ya hewa maisha ni kutafuta nenda huku unaangalia mishe nyingine zikijipa unasepa unaenda kwengine
me npo crdb as bank officer... tke home kwa kuanza n.lak 7 na nusu then kla tr 1 unapewa hela ya fuel lak 1...... karb crdb.ULIPO TUPO
me npo crdb as bank officer... tke home kwa kuanza n.lak 7 na nusu then kla tr 1 unapewa hela ya fuel lak 1...... karb crdb.ULIPO TUPO
Kwa akili yako yote unadhani customer care ni darasa la 7?? May be hapo ulipo, sikatai kabisa maana kuna kampuni nyingine mwenye elimu kubwa ni form 6 tena wanamwita CEO wao.
i wsh u all the bst..!! nyie IT weng mnanza na 1:8 basic.. mpk makato yt mnaweza kuondoka na 1:4or 3.tofaut na ivo ita depend IT ktk ishu gn..kdg mna salary nzur.. ur welcom
kabla ya hapo ulikuwa unafanya kazi wapi? au ulikuwa unatafuta kazi? kikubwa kama hukuwa na kazi nenda kajenge uzoefu, mshahara si ishu hata kama unalipwa laki 3, ila uzoefu utakupelekea kupata mil2 kwa mwezi. halafu ki ukweli maswali yako yanaboa sana, yani vijana wa siku hizi mna akili kama mbuye, yani hamueleweki, hiyo iterview tu mbwembwe nyingi.
me npo crdb as bank officer... tke home kwa kuanza n.lak 7 na nusu then kla tr 1 unapewa hela ya fuel lak 1...... karb crdb.ULIPO TUPO
Laki 1 kwa mwezi ya mafuta ni ya kwenye bajaji au Fu yeng toyo?
Mkuu upo Crdb vip kesho nakuja Interview hapoKiasi hicho cha mshahara sio kweli
Kiwango ni kati ya laki 8 na 9 tale home ni kati ya laki 6 na 7