Wakuu..
Hii ni mara ya kwanza hili kunitokea.. Nataka nifanye maamuzi... Ila ningependa kupata ushauri humu... Ni kipi cha kuzingatia ili kupiga chini sehemu moja maana zote ni katika mambo niliyosomea... Na kufanya zote labda nipande ndege na uwezo huo sina... Any suggestions?
Ni interview gani na ni course gani ulisomea kuwa muwazi ushauliwe ndg.Wakuu..
Hii ni mara ya kwanza hili kunitokea.. Nataka nifanye maamuzi... Ila ningependa kupata ushauri humu... Ni kipi cha kuzingatia ili kupiga chini sehemu moja maana zote ni katika mambo niliyosomea... Na kufanya zote labda nipande ndege na uwezo huo sina... Any suggestions?
Poa poa asante sanafanya zote mbili, usifanye uchaguzi wa kufanya moja na kuacha nyingine, just be honest anza na ya karibu then ya mbali wapigie na kuwaambia wakusogezee mbele kuwa una dharura naamini watafanya hivyo, ni vitu vya kawaida hivyo au omba telephonic/skype interview instead alafu wakupangie physical baadae
Mkuu labda hiyo Skype au telephonic interview utafanyiwa huko nchi za wenzetu. Huku hawatakubali na wataona una madharau. Lazima ufike physically. Cha msingi aombe tu udhuru kwa interview moja.fanya zote mhuko, usifanye uchaguzi wa kufanya moja na kuacha nyingine, just be honest anza na ya karibu then ya mbali wapigie na kuwaambia wakusogezee mbele kuwa una dharura naamini watafanya hivyo, ni vitu vya kawaida hivyo au omba telephonic/skype interview instead alafu wakupangie physical baadae
ha hahahaWaambie sehemu moja "ur sick n tired"
Waambie sehemu moja "ur sick n tired"
No way mkuu.Mkuu kidogo niunguzwe na chai kwa kusoma hii coment!
ndoroboooooooo i have been working na NGOs tofauti hapa TZ it is very common sasa sijui una refer hapa kwetu wapi? au una maanisha za serikalini?Mkuu labda hiyo Skype au telephonic interview utafanyiwa huko nchi za wenzetu. Huku hawatakubali na wataona una madharau. Lazima ufike physically. Cha msingi aombe tu udhuru kwa interview moja.