Nimeitwa Discussion!

Nimeitwa Discussion!

Ni kweli ila kumbuka si kila mwanamme ni mjinga au mwenye tamaaa za jogoo kihivyo...ukifika umri fulani kusoma alama za nyakati ni muhimu sana.
Sasa kama umri wako umepita hebu pita mbali na hili jukwaa, tuache sisi wazee vijana ambao tunajifunza mbinu mpya. We ulishazeeka and we cant teach an old dog new tricks
 
Sasa kama umri wako umepita hebu pita mbali na hili jukwaa, tuache sisi wazee vijana ambao tunajifunza mbinu mpya. We ulishazeeka and we cant teach an old dog new tricks

Mbona sijakuambia kuwa umri wangu umepita?
 
ndio ukadiscus sasa...mkuu..!!!.. ....
mkumbushe na kudiscuss hesabu za kugawanya viungo vya mwili......
 
Back
Top Bottom