Nimeita mmoja wamekuja wanne

Dazu umeweka hoja nzuri kwli daima hilo swali hua najiuuliza sana na wakati mwingine wanakuja na watoto,

Nadhani wanataka kuonyesha wenzao nani kamuita ili nao wafanye tathimini na kumsaidia kufanya maamuzi au ameamua kukufanya buzi au anajihami usije ukamlazimisha kuafanya vitu bila ridhaa yake hivyo hao huwa kama silaha ya kujilinda na kumegwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom