GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,646
- 109,034
Akuna kila mwanamke ana ladha yake
nyama ni nyama .. utofauti kuna iliyonona na iliyokonda, iliyozeeka , iliyopata ugonjwa kwa hiyo ukiinda kununua nyama ukipata aina zote hizo unakuwa umekula nyama .. tatizo mtazidiana kwenye ubora wa nyama yenyewe na namna ya upikaji pia ..
lakini nyama ni ile ile na lengo la kula nyama ni lile lile ila VIWANGO KAKA VIWANGO
ha ha haha lengo la kula nyama kumaliza hamu tu.. hamu ikiisa ndiyo unaweza sema aah nyama yenyewe ya kizeee ha ahhaha nyie wanaume hamna maana mfyuuuuuuSawa Fundi Nyama.
tuhisi ni mbuzi wa kuchoma na biaKuna aina mbalimbali za nyama mkuu, kuna ya ng'ombe, kitimoto, mbuzi n.k sijajua alikua anazungumzia ipi mkuu
lakini zote hupikwa kwa namna yoyote ile na kuliwanyama ya shingo ni ngumu kuiva kuliko nyama ya paja
kwa hiyo akina dada msitudanganye
kabisa na uzinzi ni dhambiNyama ya bucha la Masaki au Oysterbay hailingani na nyama utakayonunua huku kwetu Tandale, lazima zitatofautiana ubora japo zote nyama.
miss chagga ameeleza kwa ufasaha sana.
Lakini hii isihalalishe uzinzi kwa sie wanaume.
Unakuta wengine ana bucha kubwa ilo ladha yake siyo nzuri kama pucha dogo kuna mwenye bucha lina maji tofauti na kavuLadha ya Nyama au Bucha? Funguka vizuri Mkuu ili na sisi Wanunua Nyama tuliotukuka Buchani tuweze kuyajua yale ambayo pengine tulikuwa hatuyajui.
Hapo tu my miss chagga love you and kopa mingi mingi!!nyama ni nyama .. utofauti kuna iliyonona na iliyokonda, iliyozeeka , iliyopata ugonjwa kwa hiyo ukiinda kununua nyama ukipata aina zote hizo unakuwa umekula nyama .. tatizo mtazidiana kwenye ubora wa nyama yenyewe na namna ya upikaji pia ..
lakini nyama ni ile ile na lengo la kula nyama ni lile lile ila VIWANGO KAKA VIWANGO
Kuna aina mbalimbali za nyama mkuu, kuna ya ng'ombe, kitimoto, mbuzi n.k sijajua alikua anazungumzia ipi mkuu