Arushaone
Platinum Member
- Mar 31, 2012
- 15,237
- 13,566
"Miezi sita"
Six months kwa kidengereko au siku 180 kichagga!
"Miezi sita"
Na ww jifanye unamdharau si lolote unampotezea,kama alikuwa anakupima ukimpotezea na kumwona si lolote ataanza kujilengesha mwenyewes
Anamiaka 20 ni mwanafunzi wa chuo.Kiukweli yule bint wa ajabu anapenda movie na mziki tu.
Kila ukichomekea swaggz anakuambia yeye hajawai kupenda na hafikirii kupenda.
Yeye nimemzid miez kadhaa kama nane hivi.
Niliwai kuwa na mpenzi ila sikumangaikia maana dem aliingia lain mwenyewe.
Mhm!Naisi swaggz zangu ni kavu.Maana sanaa ya maongezi ni tatizo kwangu.
Kamaliza maneno yote ila wapi, bado sana