Nimeishiwa swagz kwa Bint flani

Nimeishiwa swagz kwa Bint flani

Joined
Mar 5, 2014
Posts
19
Reaction score
3
Kuna msichan flani na mzimia kichiz.Kila nikiingizia swaggz always na feli.Imefikia kipindi naisi ananilingia(kisa anajua nampenda).
Wanaforum kiukweli huu ni mwezi wa sita nafanya kazi ya kulalamika tu.Naomben ushauri wenu.Plz
 
Excel na kabanga mko likizo? Mlisema mtalimaliza tatizo hili mbona bado sana?
 
Last edited by a moderator:
badilisha kazi
hiyo ya kulalamika iache
 
Huyo binti anaitwa nani?
Mlete kwenye mtongozano, kina watu watakusaidia.... :thumbup: 😀😀😀
 
Kuna msichan flani na mzimia kichiz.Kila nikiingizia swaggz always na feli.Imefikia kipindi naisi ananilingia(kisa anajua nampenda).
Wanaforum kiukweli huu ni mwezi wa sita nafanya kazi ya kulalamika tu.Naomben ushauri wenu.Plz

---ushawahi kumfanyia assessment huyo mpenzi wako ukajua anapenda nini na hapendi nini?

-- anakuzidi/unamzidi umri kiasi gani?

-- una/ana kazi gani inayompatia kipato?

-- ushawahi kuwa na mpenzi hapo kabla?

-- nini experience yako katika love game..?

-- hizo swaggz zako huwa ni kavu ama zina kivutio chochote?

--competition level ikoje kati yako na vijana wenzio? -- usidhani unampenda peke yako, lazima kuna wengine nyuma!

-- nipe kwanza ufafanuzi wa hiyo questionare kabla sijaamsha mashetani! --

NB: kupenda nayo ni kazi, lazima uwe time manager kabla muda wa kustaafu haujafika!
 
Loh!afande chacha hayo yote ni maswali jamani?
 
Na ww jifanye unamdharau si lolote unampotezea,kama alikuwa anakupima ukimpotezea na kumwona si lolote ataanza kujilengesha mwenyewes
 
---ushawahi kumfanyia assessment huyo mpenzi wako ukajua anapenda nini na hapendi nini?

-- anakuzidi/unamzidi umri kiasi gani?

-- una/ana kazi gani inayompatia kipato?

-- ushawahi kuwa na mpenzi hapo kabla?

-- nini experience yako katika love game..?

-- hizo swaggz zako huwa ni kavu ama zina kivutio chochote?

--competition level ikoje kati yako na vijana wenzio? -- usidhani unampenda peke yako, lazima kuna wengine nyuma!

-- nipe kwanza ufafanuzi wa hiyo questionare kabla sijaamsha mashetani! --

NB: kupenda nayo ni kazi, lazima uwe time manager kabla muda wa kustaafu haujafika!

Anamiaka 20 ni mwanafunzi wa chuo.Kiukweli yule bint wa ajabu anapenda movie na mziki tu.
Kila ukichomekea swaggz anakuambia yeye hajawai kupenda na hafikirii kupenda.

Yeye nimemzid miez kadhaa kama nane hivi.
Niliwai kuwa na mpenzi ila sikumangaikia maana dem aliingia lain mwenyewe.
Mhm!Naisi swaggz zangu ni kavu.Maana sanaa ya maongezi ni tatizo kwangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom