Nimeishiwa maneno (Angalia Picha)

Nimeishiwa maneno (Angalia Picha)

educator2025

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2013
Posts
412
Reaction score
471
Jamani hiki ni nini sijaelewa kwa kweli
 

Attachments

  • sherehe1.JPG
    sherehe1.JPG
    150 KB · Views: 2,203
  • sherehe2.JPG
    sherehe2.JPG
    171.4 KB · Views: 2,204
Hawa watoto mbona wana mambo ya kikubwa hiv? hao kama si WAHAYA ni WACHAGA (wauza maduka kariakoo na sifa za kijinga)
 
:washing:SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA:ballchain:​
<!-- google_ad_section_end -->
 
geuza hiyo keki tuisome vizuri naona kama umbo la biblia
 
Mbona wanakata keki kikawaida tu, nahisi ni kipaimara au komunio hiyo...
 
Kipaimara hicho,hiyo ni mbesaaa ndo inafanya hiyo mambo.
 
ama kweli naona wazazi wameshachoka wanatengeneza mazingira ya kuja kugegedana ukubwani
 
Back
Top Bottom