Nimeirudia blog yangu. Nataka kuiconnect na google adsense

mwerevu mwenye busara

Senior Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
144
Reaction score
94
Habari wadau wa kisima cha maarifa.
Baada ya kupata ujuzi wa namna ya kufungua blog kutoka kwa wadau mbalimbali humu jf nikafanikiwa kufungua blog yangu.
Kutokana na kukosa main topic niliitelekeza kwa muda mrefu na nimeirudia mwaka huu na nataka nijikite zaidi kwenye blog.
Blog yenyewe ni hii
bongolifestyle.blogspot.com
Nataka niiconnect na google adsense ila napata shida.
Msaada tutani maana nmejaribu nikashindwa
Au km kuna anayeuza google adsense account iliyo active kwa bei ya magufuli anipm
 
Adsense akaunt nnayo nauza ni non hosted kama unahitaji nichek 0717157467
 
Habari wadau wa kisima cha maarifa.
Baada ya kupata ujuzi wa namna ya kufungua blog kutoka kwa wadau mbalimbali humu jf nikafanikiwa kufungua blog yangu.
Kutokana na kukosa main topic niliitelekeza kwa muda mrefu na nimeirudia mwaka huu na nataka nijikite zaidi kwenye blog.
Blog yenyewe ni hii
bongolifestyle.blogspot.com
Nataka niiconnect na google adsense ila napata shida.
Msaada tutani maana nmejaribu nikashindwa
Au km kuna anayeuza google adsense account iliyo active kwa bei ya magufuli anipm
Mimi siuz Ila nakuunganisha kwa 20k tu ndani ya siku 30 unapokea mzgo wasiliana nami Sasa 0753093869
 
Habari wadau wa kisima cha maarifa.
Baada ya kupata ujuzi wa namna ya kufungua blog kutoka kwa wadau mbalimbali humu jf nikafanikiwa kufungua blog yangu.
Kutokana na kukosa main topic niliitelekeza kwa muda mrefu na nimeirudia mwaka huu na nataka nijikite zaidi kwenye blog.
Blog yenyewe ni hii
bongolifestyle.blogspot.com
Nataka niiconnect na google adsense ila napata shida.
Msaada tutani maana nmejaribu nikashindwa
Au km kuna anayeuza google adsense account iliyo active kwa bei ya magufuli anipm
Nicheki mkuu 0758217840 nikupe maujuzi yote na jinsi ya kupiga dollar mpaka 5 kwa siku.
 
Back
Top Bottom