Nimeipenda tweet ya Fatma Karume.

Hiyo nayo hata nyani anaandika kujitafutia kifuta machozi.. hata hauna bichwa wala miguuu.. haichekeshi wala haijaenda shule.. bure kabisa.. ndio watu wanakaaa kufikiria hayo.. sheria zikiwapita wanaishia kulialia eti wanaonewa..
acha upuuzi. au unadhan kila aliyemo humu hajui kinachoendelea nyuma ya pazia??
 
Hiyo list fake,sijaona jina la nabii
 
Siku zote ninavyomuona, hadhi yake hailingani na ulojo huu alioandika.
Atambue kwamba kuna watu tunaona hadhi yake ni zaidi ya hivi anavyojitanabaisha!
 
Siku zote ninavyomuona, hadhi yake hailingani na ulojo huu alioandika.
Atambue kwamba kuna watu tunaona hadhi yake ni zaidi ya hivi anavyojitanabaisha!
Hayo ni maisha yake binafsi nje ya kazi zake

Ukitaka kuliwa sharti uliwe raisi mstaafu wa tanzania ndugu jakaya kikwete vipi hiyo kauli?

Binadamu bila utani kidogo unaweza kuwa chizi.
 
Basi tuna maraisi wenye mambo ya kitoto...mwingine kapanda Ndege anaulizia sehemu ya kupiga honi...huu nao Ni utoto wa kiwango cha juu


Mungu wako Lissu aliomba muswada wa wabunge kuruhusiwa kupiga punyeto bungeni na alikuwa rais wa TLS kipindi hicho.
 
Mungu wako Lissu aliomba muswada wa wabunge kuruhusiwa kupiga punyeto bungeni na alikuwa rais wa TLS kipindi hicho.
Aisee...ila lisu hajawahi kujipa hicho cheo Kama yule nabii mwingine....yote kwa yote akili yako imeishia hapo kwenye punyeto Na usiku mwema
 
Ha haha, aisee umemnyea huyo jamaa!
 
Siku zote ninavyomuona, hadhi yake hailingani na ulojo huu alioandika.
Atambue kwamba kuna watu tunaona hadhi yake ni zaidi ya hivi anavyojitanabaisha!
Hujawahi ona Obama anafanya utani? wewe kwako hujawahi fanya utani ili kuchekesha familia/wanao? Hadhi yako ilishuka? Fikiri vzr mkuu
 


Kama kweli Fatma Karume ndiyo kuandika haya basi atakuwa na matatizoya kiakili kama ilivyo kwa Lissu. Pengine TLS in laana Fulani maana Lissu naye alikuwa zaidi ya hapa. How he hell is mtu kama Mange, Lissu kuwa dada na kaka wa watanzania? This is beyond stupidity.
 
I like Miss Karume, but self promotion is tacky.
 
Hiyo nayo hata nyani anaandika kujitafutia kifuta machozi.. hata hauna bichwa wala miguuu.. haichekeshi wala haijaenda shule.. bure kabisa.. ndio watu wanakaaa kufikiria hayo.. sheria zikiwapita wanaishia kulialia eti wanaonewa..
Yaelekea imekukera kama mtu aliyekalia bigijii kwenye stendi ya basi akiwa njiani kwenda kwenye usaili. Utapata tabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…