Fatuma ni akili kubwa yupo kwenye viwango vya uingerezaNimeipenda sana hii tweet imeambatana na utani vijana wa lumumba msitokwe na povu.
1. Babu wa Taifa = Mtwa Mkwawa
2. Baba wa Taifa = Mwalimu Nyerere
3. Kaka wa Taifa = Mhe. Tundu Lissu
4. Dada wa Taifa = Mange Kimambi
5. Shangazi wa Taifa = Mhe. Fatma Karume
Hii sio takwimu ni maoni hivyo, ruhusa ya NBS haiitajiki kabisa, kusambaza post hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 807645
Ongeza Bujibuji, mshauri na shemeji wa TAIFANimeipenda sana hii tweet imeambatana na utani vijana wa lumumba msitokwe na povu.
1. Babu wa Taifa = Mtwa Mkwawa
2. Baba wa Taifa = Mwalimu Nyerere
3. Kaka wa Taifa = Mhe. Tundu Lissu
4. Dada wa Taifa = Mange Kimambi
5. Shangazi wa Taifa = Mhe. Fatma Karume
Hii sio takwimu ni maoni hivyo, ruhusa ya NBS haiitajiki kabisa, kusambaza post hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 807645
Ila naona ni kama anamsimanga nabiiHiyo nayo hata nyani anaandika kujitafutia kifuta machozi.. hata hauna bichwa wala miguuu.. haichekeshi wala haijaenda shule.. bure kabisa.. ndio watu wanakaaa kufikiria hayo.. sheria zikiwapita wanaishia kulialia eti wanaonewa..
Ndio madhara ya kuchanganya taaluma na siasa..Bora angeunda foundation ya kusaidia jamii au kuburudisha,ingempa credibility kuliko huu ujinga wa watoto wadogo anaoufanya humuHiyo nayo hata nyani anaandika kujitafutia kifuta machozi.. hata hauna bichwa wala miguuu.. haichekeshi wala haijaenda shule.. bure kabisa.. ndio watu wanakaaa kufikiria hayo.. sheria zikiwapita wanaishia kulialia eti wanaonewa..
Naona umepata tabu sanaHiyo nayo hata nyani anaandika kujitafutia kifuta machozi.. hata hauna bichwa wala miguuu.. haichekeshi wala haijaenda shule.. bure kabisa.. ndio watu wanakaaa kufikiria hayo.. sheria zikiwapita wanaishia kulialia eti wanaonewa..
Una akili kiduchu sana!Hiyo nayo hata nyani anaandika kujitafutia kifuta machozi.. hata hauna bichwa wala miguuu.. haichekeshi wala haijaenda shule.. bure kabisa.. ndio watu wanakaaa kufikiria hayo.. sheria zikiwapita wanaishia kulialia eti wanaonewa..
Shangazi wa wabumbwiniShangazi wa Taifa gani Tanganyika Au Pemba?
Ila naona ni kama anamsimanga nabii