Nimeipenda hii

Nimeipenda hii

kikoba

Member
Joined
Feb 9, 2010
Posts
10
Reaction score
1
"Kura za maoni siyo kigezo pekee cha mgombea wa Chadema kusimamishwa kama mgombea" Source Star tv habari from Kalenga.

Demokrasia maana yake n nn? Kama mgombea hana vigezo anaingiaje kwenye mchakato wa kupigiwa kura ya maoni? Iweje mshindi wa kura za maoni apigwe chini bt wapili ndo asimamishwe kama mgombea?
 
Kumbe wewe ni mchanga sana kwenye siasa. Basi muachieni Mh.Lowassa kwenye list ya wagombea kuwakilisha chama kuwa mgombea wa Urais halafu uone atakuwa wa ngapi. Pia mbona wabunge wengi wa chama chetu (CCM) hawakuwa wakiongoza kura za maoni? Hii ndiyo hasara ya kujifunza siasa mtandaoni, tena kwenye thread moja tu, halafu unaanza kujifanya mchambuzi na mkosoaji.
 
Nikukumbushe. Ezekiel wenje hakuwa mshindi kura za maoni mwanza alishika nafasi ya tatu lakini chadema wakamchukua yeye na kumsimamisha na umma wa wana-nyamagana wakamchagua. Demoktasia ilitumika au haikutumika? Demokrasia ipi kubwa kuliko demokrasia ya wananchi wenyewe kufanya maamuzi?
 
"Kura za maoni siyo kigezo pekee cha mgombea wa Chadema kusimamishwa kama mgombea" Source Star tv habari from Kalenga.

Demokrasia maana yake n nn? Kama mgombea hana vigezo anaingiaje kwenye mchakato wa kupigiwa kura ya maoni? Iweje mshindi wa kura za maoni apigwe chini bt wapili ndo asimamishwe kama mgombea?

Cdm ,wabakaji wakubwa wa demokrasia hawa
 
Atakuwa hana hati miliki ya hawa Jamaa wa kule kwenye barabara mpaka migombani.
 
"Kura za maoni siyo kigezo pekee cha mgombea wa Chadema kusimamishwa kama mgombea" Source Star tv habari from Kalenga.

Demokrasia maana yake n nn? Kama mgombea hana vigezo anaingiaje kwenye mchakato wa kupigiwa kura ya maoni? Iweje mshindi wa kura za maoni apigwe chini bt wapili ndo asimamishwe kama mgombea?

Wamerithi CCM
 
Kumbe wewe ni mchanga sana kwenye siasa. Basi muachieni Mh.Lowassa kwenye list ya wagombea kuwakilisha chama kuwa mgombea wa Urais halafu uone atakuwa wa ngapi. Pia mbona wabunge wengi wa chama chetu (CCM) hawakuwa wakiongoza kura za maoni? Hii ndiyo hasara ya kujifunza siasa mtandaoni, tena kwenye thread moja tu, halafu unaanza kujifanya mchambuzi na mkosoaji.

Mkuu huyu atajulia wapi? alikuwa anachunga Ndama huko kijijini kwa sasa tangu aje mjini na kujua jinsi ya kutumia komputa isha kuwa taabu
 
Unakumbuka mkapa alikuwa wa ngapi 1995? Nyerere alifanya nn?
 
Muulize ilikuwaje Kigwangala apewe na bashe apigwe chini na CC yao CCM?

Kumbe wewe ni mchanga sana kwenye siasa. Basi muachieni Mh.Lowassa kwenye list ya wagombea kuwakilisha chama kuwa mgombea wa Urais halafu uone atakuwa wa ngapi. Pia mbona wabunge wengi wa chama chetu (CCM) hawakuwa wakiongoza kura za maoni? Hii ndiyo hasara ya kujifunza siasa mtandaoni, tena kwenye thread moja tu, halafu unaanza kujifanya mchambuzi na mkosoaji.
 
U can't use someone's mistake as an excuse. Kwann msingemteua tu ijulikane?
 
Ccm wanataka kujua ni mbinu gani wanatumia chadema kupata mgombea.sasa ccm kama mnaweza kumchangua mtu aliyetengeneza dawa feki. mtu mtaweza kuibadilisha Tz kwa lipi
 
"Kura za maoni siyo kigezo pekee cha mgombea wa Chadema kusimamishwa kama mgombea" Source Star tv habari from Kalenga.

Demokrasia maana yake n nn? Kama mgombea hana vigezo anaingiaje kwenye mchakato wa kupigiwa kura ya maoni? Iweje mshindi wa kura za maoni apigwe chini bt wapili ndo asimamishwe kama mgombea?

kule nzega Kigwangala alikuwa mshindi wa tatu akiwa na kura ambazo hazifiki hata robo ya mshindi wa kwanza..hazikufika hata nusu ya kura za mshindi wa pili. sasa nikuombe kabla ya haujarukwa na akili rejea ukweli huu...siyo unaongea bila ushahidi
 
Unamanisha CCM na CDM n sawa? Kama CCM wakifanya kosa na nyie mnaiga?
 
Back
Top Bottom