Nimeipenda hii

Nimeipenda hii

kwa ufahamu tu. KIGWAngaLA. alipata kura 1,800 (elfu moja mia nane tu), huku Bashe akipata kura 14,000 (efku kumi na nne) kura alizopata kigwangala ni sawa na 1 ya 9 YA Kura alizopata BASHE???..sasa namshangaa ndg KIKOBA. ambaye anajaribu kujenga hoja zisizo na ushadi wowote.. anasahau maajabu ya chama chake......
 
Unamanisha CCM na CDM n sawa? Kama CCM wakifanya kosa na nyie mnaiga?

upme nadhani ndg uelewi maana ya kosa.....Kama CCM walifanya kosa hebu nikumbushe mshindibuchaguzi pale nzega al7kuwa nani mwk 2010.......kosa la CCM pale halijathibitika hafi leo..labda nisikie kwako leo...vinginevyo usipoteze muda ku-argue mambo usiyokuwa na weledi nayo
 
Kosa n kumnyima haki mtu waliyemruhusu agombee kura za maoni na kumpa wamayemtaka wao. Kushinda kwa Kigwangala haihalalishi kukalia haki ya Bashe. Kuna sehemu CCM walipigwa chini kwa kosa kama hilo. Anyway u do the ryt always
 
Kumbe wewe ni mchanga sana kwenye siasa. Basi muachieni Mh.Lowassa kwenye list ya wagombea kuwakilisha chama kuwa mgombea wa Urais halafu uone atakuwa wa ngapi. Pia mbona wabunge wengi wa chama chetu (CCM) hawakuwa wakiongoza kura za maoni? Hii ndiyo hasara ya kujifunza siasa mtandaoni, tena kwenye thread moja tu, halafu unaanza kujifanya mchambuzi na mkosoaji.
Ahsante, mkumbushe pia Kigwangala alikuwa wa ngapi kura za maoni!
 
Kura 1,800 za Kigwangala na kura 14,000 za Bashe kuna tofauti kubwa lakini yule Mama alizidiwa kwa kura 10 tu na ccm wanajifanya kusahau ya kwao.
 
The mind of ccm followers is (9x9) it cant fit in the mind of (12 x 12) of chadema, ndio maana mnabwajabwaja tu sisi tunaendelea kusonga mbele, bakini na chama chenu chakavu
 
Back
Top Bottom