Nimeipenda hii

Nimeipenda hii

Wafalme huwa wana bargain bhanaaaa!!!
 
hiyo haifai bongo bhana kuna watu wanataka wapate faida mara tano ya bei walonunulia so kubargain muhimu
 
Hataki kupoteza wateja kwa kushindwana bei so kabla mfalme hujaingia unakutana na tangazo,ukiingia means umekubaliana na tangazo!
 
Dadii umenikumbusha kuleeee nikaenda breakfastee ofisini kwako. Tumeingia tu nashangaa mwenyeji wetu anasema tufanyie nusu. Kidogo niseme hatishibiiiiii!
Na yule mmama mwarabu anajidaii alikuwepo. Heh, kumbe ni bargain. Aisee, nilikoma!
Mwanangu una akili sana wewe
 
Kipipi wako umemtelekeza humpi matumizi kafulia hadi pesa ya bundle nahisi yuko kujitwisha zege ili asongeshe gurudumu la maisha,usijeshanga kaopolewa na mwingine fanya hima.

Hahaaa hafulii labda km ana madeni
 
Ha ha haaa kubagain muhimu.....

yale ambo ya bei ya kuuza? minina sh......ongeza basi hata buku 3....aah mi nia buku tu...haifai ongeza hata jero basi tufanye biashara...
 
Back
Top Bottom