Nimeipenda hii!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeipenda hii!!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Kassim Awadh, May 11, 2012.

 1. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  _MG_0274[1].jpg

  Askari polisi akidhibiti wanayanga walioleta zogo pale clubuni wakishinikiza uongozi wa juu wa club uachie ngazi!!!
   
 2. driller

  driller JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  yanga aisee sio uongo walipakatwa juzi..! japo mimi si mshabiki wa ligi na timu za bongo
   
 3. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Well timu za bongo zimepoteza mvuto kabisa, ndo maana leo hii unawza kuta mtoto wa miaka 10 akakutajia majina ya wachezaji wa club za ulaya wakati hamjui hata mmoja wa hapa Tz, club zipunguze magumashi na mashabiki nao wawe na subira kutambua nafasi ya uongozi ktk club na benchi la ufundi ktk kuleta matokeo mazuri wanayotarajia, Haiingii akilini timu kupoteza tu basi mnashinikiza kwa vurugu uongozi ujiuzuru
   
 4. m

  mkizungo JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi ni mshabiki wa ushirika moshi
   
 5. v

  valid statement JF-Expert Member

  #5
  May 20, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  Ulichopenda ni nini hasa?
  Polisi kuzuia vurugu?
  Au wanayanga kuleta vurugu?
   
 6. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #6
  May 20, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mimi ni wa Tukuyu Stars "BANYAMBALA"
   
 7. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #7
  May 20, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hii move ya ckub zinazojidai ndo zenyewe hapa bongo huwa naipenda sana coz haina mwisho bali ina pause tu next time utasikia kwa Mnyama nako kimenuka.pumzika kwa amani Papaa Mutesa Mutoto ya Mungu
   
 8. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nimependa kwenye bolded red mkuu na hasa ffu huyo anavoonekana makini, vurugu sifagilii c suluhisho la matatizo
   
 9. Ndekirhepva

  Ndekirhepva JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  kazi wanayo ila ungeiweka kwenye forum husika alafu ntuja kui 'Like' au ngoja niwahi kabisa nakusubiri uilete
   
Loading...