Manyerere Jackton
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 2,438
- 4,465
naona hawa wameiga kwetu kwenye ile nanihii nanihiii richie mondo ya kule nanihiiii..........wasije nisikiaMahakaka ya katiba nchini thailand imemwondoa madarakani waziri mkuu -mwana mama-kutokana na matumizi mabaya ya madaraka na upendeleo kwa ndugu zake. Hakika huu ni mfumo tunaopaswa kuuweka kwenye katiba yetu mpya. Hapa kwetu kuna watu wanapewa madaraka kiajabu ajabu kiasi cha watu kuhoji, "hata huyu??"
Chanzo: cnn
Nadhani ndani ya CHADEMA ndo kuna kuoeana madaraka kiajabu ajabu tu. ndo maana wamelazi ika kupangua baraza lao kivuli ili angalau kuleta uhai wa chama
kuna mademu wazuri jamaniiiiiii, hapa mzee wetu nina uhakika alikuawa na wakati mgumu sana.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mgeni wake Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck
Shinawatra Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2013 kwa ziara rasmi ya siku tatu nchini.
Mahakama ya katiba nchini thailand imemwondoa madarakani waziri mkuu -mwana mama-kutokana na matumizi mabaya ya madaraka na upendeleo kwa ndugu zake. Hakika huu ni mfumo tunaopaswa kuuweka kwenye katiba yetu mpya. Hapa kwetu kuna watu wanapewa madaraka kiajabu ajabu kiasi cha watu kuhoji, "hata huyu??"
Chanzo: cnn
CCM wakisikia sheria kama hii lazima washikwe na tumbo la kuhara.
kuna mademu wazuri jamaniiiiiii, hapa mzee wetu nina uhakika alikuawa na wakati mgumu sana.
View attachment 156422
huyu naye yuko chadema kumbe..aisee kweli nyani haoni ----- lake
hahaa muoga kupiga mistari
kwa kiingereza huyu we muone hivo hivo ....huyo ukitaka kumuona nguli
iwe kwa kiswahili weeeee anaangusha mivule kama hana akili
vizuri
kuna mademu wazuri jamaniiiiiii, hapa mzee wetu nina uhakika alikuawa na wakati mgumu sana.
jitahidi kuwa unaficha upumbavu wako!!! nguruwe pori wewe.kitu kime simama amekizuwia na mikono angalia vizuri kama huoni vaa miwani :embarassed2: