Mambo ya ku-boost self esteem!
Ila Becky nakuonaga mtu fulani strong kinoma uhitaji vimisemo kama hivi kukupa boost!
Nakuonaga high energy fulani hivi
Ah ah sasa si unielekeze rebekaNishakuzoea!😕😕😕🙁
Mke atakua msaidizi wa mume..sasa mimi kubeba matunguri hapana... 😳 😳 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji4]
Hahaha, Umebeep subiri kupigiwa....Hahahah mara unakua mpole ghafla, mpaka watu wanashangaa..lol..kumbe mume anatafutwa...lol
Ah ah sasa si unielekeze rebeka
Nilijua tu dish limeyumba [emoji16][emoji16][emoji16] me nakwambia unielekeze unaanza kutoa povuSijajua wewe ni Ambiele Kiviele au nani,naanza rasmi kukutafuta nijue wewe ni nani na kwa nini unanichukia...sina tabia ya kutafuta wana JF,lakini wewe umezidi..kila topic yangu lazima uandike mashudu yako...sikiliza, SIJALI kama wewe una kipato Zaidi yangu,una akili Zaidi yangu au lolote lile...wacha utoto mpuuzi wewe...anzisha topic yako uandike mashudu yako huko..usiwe unanichafulia mada zangu….mxiewwwwwwwwwwww
Nilijua tu dish limeyumba [emoji16][emoji16][emoji16] me nakwambia unielekeze unaanza kutoa povu
Hebu wahi haraka ukatibiwe,mental mkubwa ww
Si kweli niko strong mkuu..niko vulnerable as anyone else...
Napenda wengine wajifunze,
Wapitie ama wasipitie njia niliyopita..lol