Nimeipenda CCM Bure yaani Kama Kambale Vile

Nimeipenda CCM Bure yaani Kama Kambale Vile

Mpwa nyumba nzima kila mtu ana ndevu?

Kabisa. Yaani kila mtu ktk chama ni msemaji. Hata wewe, ukijisikia kumsema mtu ndani ya chama hiki we itisha tu mkutano na media, hakuna atakaekuhoji.
 
Kabisa. Yaani kila mtu ktk chama ni msemaji. Hata wewe, ukijisikia kumsema mtu ndani ya chama hiki we itisha tu mkutano na media, hakuna atakaekuhoji.

Kama wajenzi wa mnara wa babeli!
 
Kabisa. Yaani kila mtu ktk chama ni msemaji. Hata wewe, ukijisikia kumsema mtu ndani ya chama hiki we itisha tu mkutano na media, hakuna atakaekuhoji.

Ila usimseme EL hata viongozi wa baadhi ya dini watakukemea
 
mbona chadema mpaka akina yericko wanakisemea chama? mbona akina mida8 wanatukana viingozi wakubwa wa chama wanavumiliwa? slaa anaropoka hovyo vitu ambavyo si msimamo wa chama kama kupika gongo?
Waambieni Nape na Kinana ma mizigo yatawamaliza, hawayawezi!!!!
 
Hiyo ni demokrasia ndani ya CHAMA , siyo kama CHADEMA.

Wale jamaa wanaowalipa buku 7 ni lazima wakulipe na overtime au allowance kwa jinsi ulivyotia bidii kufukuzana na thread humu jukwaani kwa ajili ya kutetea chama.
 
CCM !!! Tapeli lililotapeli na linaendelea kutapeli baadhi ya wajinga (wadanganyika).

Tuna kazi moja tu:

KUWAKURUPUA watu wote wajielewe ili wasiendelee kutapeliwa na CCM!
 
Kama CCM kwshnei, uoga wa nini? tumieni hiyo nafasi, otherwise mtajikojolea pale mtakapowaona wamerudi pamoja , CCM wana demokrasia bwna ,pale hakuna mtu kubanwa kama alivyofanyiwa ZITTO kule Uchaggani.
Inaelekea wewe ni chakula ya Zitto, Zitto kabanwa na nini? M.A.V.I au mlango? Zito kajifanya kidume kumbe G.O.V.I sasa wanataka kumtairi anaanza kurukaruka. Atabaki na PAC yake ofa ya CCM. Cdm hana chake tena. Ni lazima achinjiwe baharini tu safari hii achomoki. Keshajiunga na akina Hamad Rashid na akina Kafulila wabunge wa mahakama.
 
kwa watakaoipigia kura 2015 nadhani ni wale wenye maslahi humo ndani
wananchi wameamka,hata babu yangu kaamka ukada wake wa chama ameufuta
tukipata tume huru ya uchaguzi na tukiwapata mawakala waaminifu hakuna kuiba kura
mwaka 2015 CCM byebye..nchi ya watu 40M rais anapata kura 5M ni kituko sana.
 
mbona chadema mpaka akina yericko wanakisemea chama? mbona akina mida8 wanatukana viingozi wakubwa wa chama wanavumiliwa? slaa anaropoka hovyo vitu ambavyo si msimamo wa chama kama kupika gongo?

Lowassa kiboko chenu
 
Back
Top Bottom