Siku za hivi karibuni nimekuwa na furaha tu.... yaani kila nikiangalia hekaheka za CCM. Nilichokipenda zaidi ni ile hali ya familia moja kwa na wasemaji kibao yaani wote wana ndevu kuanzia Baba hadi watoto.
Kila mtu ana la kusema kwenye vyombo vya habari, kila mtu ana uwezo wa kuchagua mgombea, kla mtu ana uwezo wa kumhukumu mwenzie, mara huyu ni mzigo, mara huyu ni kiroba mara huyu ametumwa....bassssi raha tupu.
Honegereni CCM. mlijisahau kidogo mkaelekeza nguvu zenu kwenye mgogoro usiowahusu!
Hiyo ndiyo tofauti kati CCM na CHADEMA, makonda angekuwa CHADEMA angetimuliwa. CCM full Demokrasia.