Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,367
- 100,408
- Thread starter
- #41
hakuna wa kumgusa Loawsa CCM nzima, hao akina Malecela wanarushia mawe kwa mbali. XCCM wote ni we...... tena wakubwa tu
Mjomba Elli ulijificha wapi ukawachungulia hao jamaa? Siku zao zimekwisha kabisa. Hakuna aliyetegemea kuwa wangejifia hivyo bila hata kurusha teke. Ndo maana wameamua kila mtu kuchukua anachokiona mbele yake.
Walizoea kwenda kujichotea tu kwenye vyombo vya fedha kama za kwao, walizoea kutamalaki viwanja na mashamba mpaka vijijini. Watanzania M4C OPD imewaamsha. Sasa lile li chama likuubwa liko hoi; hata ya kununulia chumvi hakuna. Kila mwenye mwanya kaiba kaenda kuficha ili atoke nazo 2015.
Mzee EL anawasumbua na zile za Richmond, yaani wamechanganyikiwa hadi baasi. Wamesahau hata vikao vya kujisemea kwani hata vikao vyao m/kiti wao kavidharau. Hakuna faida yeyote ya matamko yao ya vikaoni. Tangu kuvuana magamba mpaka mizigo na sasa EL.
Saa ya ukombozi ni sasa. OPD juu zaidi, washa moto uwachome hadi hayo magamba yawachunuke kama kwato za mbuzi.