Nimeiona picha ya Lissu nikamkumbuka Benazir Bhutto Pakistan

Kwenye dashidashi hapo ni Kharumwa? Naam, Nyalubele pale kwenye daraja....Waweza pia kwenda Kafita, Kayenze (Msalabani), Bukwimba, Nyangh'olongo na pengine Nyamtukuza (kule kwenye Ukingo wa Ziwa Nyanza....
Nikumbushe ziwa Nyanza liko wapi
 
Mama uwe na roho ya ubinadamu, mleta mada ameeleza kwa uchungu sana hoja yake, sikutegemea kama kuna mtu angekuja na hoja kama yako. Ukimfuatilia vizuri hajawa na hoja za kiitikadi, sijui hilo hujaliona? Wakati mwingine ukipita kimya kimya itapendeza zaidi.

Embu jipangie wewe cha kuandika.. na tena na ujipige vibao vya usoni vizuri

Umeumia kwa mshushuko wa leo pia mmepagawa..

Usinipangie cha kuandika.. mgazeti wako usome mwenyewe.. eeeeh
Ukweli kweli unauma
 
Hapa ndipo linapokuja tatizo la wasukuma, hawataki kuwa modernized
Ndugu yangu Dodou, kuwa 'Mordenised" ni kutamka majina kama Wazungu WALIVYOYAKOSEA? Au ni kuyatamka kama WENYE Majina yao wanavyoyatamka?
 
Shetani wewe ulaaniwe maisha yako yote, na laana hiyo idumu kizazi hadi kizazi, watoto wako (kama unao) wawe wakimbizi. Laana hiyo ikuaibishe hapa hapa duniani na roho yako inayowawazia mabaya binadamu wenzako ikurudie wewe na kizazi chako.
Inasikitisha sana ndugu kuwa na binadamu kama huyo
 
Mama uwe na roho ya ubinadamu, mleta mada ameeleza kwa uchungu sana hoja yake, sikutegemea kama kuna mtu angekuja na hoja kama yako. Ukimfuatilia vizuri hajawa na hoja za kiitikadi, sijui hilo hujaliona? Wakati mwingine ukipita kimya kimya itapendeza zaidi.
Tuna binadamu wa ajabu sana
 
Back
Top Bottom