Nimeiona picha ya Lissu nikamkumbuka Benazir Bhutto Pakistan

Ndio maana mkuu wenu akamtenda kwasababu nyie mnamshadadia huyu kizaidi.
Mama uwe na roho ya ubinadamu, mleta mada ameeleza kwa uchungu sana hoja yake, sikutegemea kama kuna mtu angekuja na hoja kama yako. Ukimfuatilia vizuri hajawa na hoja za kiitikadi, sijui hilo hujaliona? Wakati mwingine ukipita kimya kimya itapendeza zaidi.
 
Usifanishe ujinga wa lisu na mambo ya maana[/QUOTE


Hii LAANA isiishie tu kukutafuna wewe lakini pia Vizazi vyako vyote hadi cha tano vilaaniwe, viishi maisha ya kufukarika.
MWANA IZAYA MTOKA PABAYA kabisaaa.
 
Hallow umesema maneno mazito sana kaka, kama kuna mhusika aliefanya kitendo hiki cha kumpiga risasi mhe Lissu au aliepanga mpango huo na alietoa amri hiyo kweli ni waumini wa dini na walifanya dhambi kubwa sana watubu.
 
Anayeua kwa upanga atauawa kwa upanga.

Kauli hiyo akipenda sana kutumia Rais wa Zamani wa Zambia Fredrick Chiluba akimsimanga Mzee Keneth Kaunda

Karma ilifanya kazi baada ya kugeukwa na Mtu aliempa Urais Levi Mwanawassa
 
Shetani wewe ulaaniwe maisha yako yote, na laana hiyo idumu kizazi hadi kizazi, watoto wako (kama unao) wawe wakimbizi. Laana hiyo ikuaibishe hapa hapa duniani na roho yako inayowawazia mabaya binadamu wenzako ikurudie wewe na kizazi chako.

Hii LAANA isiishie tu kukutafuna wewe lakini pia Vizazi vyako vyote hadi cha tano vilaaniwe, viishi maisha ya kufukarika.
MWANA IZAYA MTOKA PABAYA kabisaaa.
Mmmmh!! Tangu lini random people wasio na haki kama wengine wakatamka laana kwa watu wengine!!
 
kijijini kwetu na baadae mtihani wa kupata kumunio............... (makao makuu ya wilaya ya Nyanghwale zaidi ya miaka 29 iliyopita tukisimamiwa na Padri Alphonce Twimanye aliyekuwa parokia ya Nyalubele
Kwenye dashidashi hapo ni Kharumwa? Naam, Nyalubele pale kwenye daraja....Waweza pia kwenda Kafita, Kayenze (Msalabani), Bukwimba, Nyangh'olongo na pengine Nyamtukuza (kule kwenye Ukingo wa Ziwa Nyanza....
 
Back
Top Bottom