katokumbi
Senior Member
- May 19, 2012
- 195
- 78
Serikal ya Tanzania imetangaza kupunguza bei ya mchele kufikia shiling mia hamsin kwa kilo ili kuwezesha watanzania wote kula wali.hii ni baada ya kugundulika kuwa unga una madhara kutokana na kifo kilichomkuta msanii Ngwair baada ya kula unga..kauli mbiu ya leo,epuka unga,kula wali ili kulinda uhai wako