Nimeingizwa majaribuni,shetani anaelekea kunishinda

Nimeingizwa majaribuni,shetani anaelekea kunishinda

Mambo mengine hutakiwi kuomba ushauri unafanya kile roho yako inataka? Maana hapa unapata majibu mawil bado uamuzi itabid ufanye mwenyewe.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Majaribu unayakaribisa wewe mwenyewe kwa kushindwa kumuweka wazi huyo mshenzi.....kwa kadri unavyozidi kudumisha mawsiliano na huyo mshenzi ndivyo unavyo dhidi kumuweka karibu huyo mbwa anayefanana na binaadamu......vaa uhalisia wako na umwambie kwa kauli inayoonyesha kuwa unamaanisha hicho unachoongea kuwa hilo jambo hulitaki na hiyo hela anayo kuhonga mrudishie mara moja.........

Fact!!
 
Fahmililah kaka we bong'oa tu mchonyo wake huo neema limahula hyo mdau sasa unataka upewe nini kakaaaaaa!
 
Yani unajua binadamu tunatofautina maumbile.
Usikute kweli kuna sehem kunamuwasha na.yeye awezi kujikuna sasa kama binadamu unaeweza kumsaidia msaidie uyo mtu na amekuomba msaada.
 
avatar23801_9.gif
 
Umeshamaliza uzinifu na huyo mwanaume? Maana kwa mtu serious tokea jana ina maana umeshachangamkia fursa!

Mkuu huo unaitwa ufirauni. Kama ameshindwa kumchana kwamba hamaindi huo ushenzi, basi ujue nae keshaelekea kuwa shoga.Akianza tu kumla, na yeye ataanza automatically kuvut hisia kupitia makalio.Lets wait for feedback.
 
mkuu huo unaitwa ufirauni. Kama ameshindwa kumchana kwamba hamaindi huo ushenzi, basi ujue nae keshaelekea kuwa shoga.

Akianza tu kumla, na yeye ataanza automatically kuvut hisia kupitia makalio.

Lets wait for feedback.

Natamani kukugongea like ila nashindwa kujiposition vizuri,like yangu itakuwa ni kwa ajili ya wazo lako zuri (kwamba uko against ushoga) ama ni kumfurahia huyu ndugu yetu 'firauni chipukizi' amabaye keshapitisha maazimio ambayo anataka tumpigie kura ya ndiyo!
 
Natamani kukugongea like ila nashindwa kujiposition vizuri,like yangu itakuwa ni kwa ajili ya wazo lako zuri (kwamba uko against ushoga) ama ni kumfurahia huyu ndugu yetu 'firauni chipukizi' amabaye keshapitisha maazimio ambayo anataka tumpigie kura ya ndiyo!

Mkuu mimi niko bize na IN PLAY ZA MERIDIAN BET.
Watu wa mwambao wana shida nyingi mpaka wanashindwa kujielewa.

Ushoga kwetu ni mwiko!!!
 
Back
Top Bottom