iron finger
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 369
- 253
Wakuu mambo.
Hapa mtaani nilipopanga chumba kuna kijana mmoja chotara,sina mazoea nae ila kuna siku siku aliniomba namba yangu ya simu,kwa kuwa ni jirani yangu sikuwa na hiyana na hasa ukizingatia ni mwanaume mwenzangu,ila alianza mazoea ya kunitumia ujumbe wa simu hasa nyakati za usiku.
Akiandika,i miss you mara nyingi na hivi punde pia huwa anatuma msg kama "i love u"nilianza kushtushwa na mazoea hayo ila juzi usiku ndio alifunga kazi,alinipigia simu akilalamika anadai yeye ni mtoto wa watu (shoga) na anataka nimle
Nilishindwa hata kumjibu lolote kwa mshangao ulionikumba.sasa jana asubuhi nilikuta ametuma pesa shilingi 700,000 kwenye simu yangu na anadai huwa ni mwanzo atanipa chochote mradi nimkune panapomuwasha.Nimebaki njia panda nashindwa kuelewa ni majaribu gani anayoniletea.
Ushauri wenu wakuu