Nimeingia mjengoni bila kura

mzee wa kijiwe

JF-Expert Member
Jun 25, 2012
947
684
alaa kumbe hakuna cha kukaribishana hapa, ngoka niingie ndani mwenyewe nianze kurusha vitu hewani, mtanikoma
 
We mzee wa kijiwe litumie vizuri hili jukwaa la sivyo utakuta unapigwa ban si muda mrefu maana naona umeingia kwa mzuka sana waulize wenzio kwanza au kama wewe ni mwenyeji ila umeaamua kuja na id nyingine kuwa mstaarabu basi
 
Hahaha very soon atakaribishwa na ban


Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
Back
Top Bottom