Nimeikuta Mahali

Nimeikuta Mahali

Wengine ukichukua namba tu,hata mama yake humjui utasikia pah mama anaumwa hela za matibabu zinahitajika...sawa tu jamani dada zetu tunawapenda ila maisha ya ujanja ujana yanawapenda sana
 
Ni mikosi eti. Hebu fikiria tuu mtu kuja tuu vitu vyako vinaanza kuharibika na wazazi wanaumwa.
Sema tunasema tu hapa ila huwa hatuchomoki kila mtu anakula urefu wa kamba yake
 
Back
Top Bottom