Nimeikuta Mahali

Nimeikuta Mahali

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
10,258
Reaction score
14,102
"*Kitendo cha kuchukua tu namba ya simu ya demu wa Dar, tayari nywele zake zinafumuka muda huo huo, njaa inamuuma dakika hiyo hiyo, simu yake inaharibika siku hiyo hiyo, siku yake ya kuzaliwa inafika saa hiyo hiyo, mama yake anaumwa ghafla hapo hapo, na kodi yao ya nyumba inaisha dakika hiyo hiyo*. 🤣😆😜
 
IMG_20190618_114806_148.JPG
 
Acha kabisa mkuu
"*Kitendo cha kuchukua tu namba ya simu ya demu wa Dar, tayari nywele zake zinafumuka muda huo huo, njaa inamuuma dakika hiyo hiyo, simu yake inaharibika siku hiyo hiyo, siku yake ya kuzaliwa inafika saa hiyo hiyo, mama yake anaumwa ghafla hapo hapo, na kodi yao ya nyumba inaisha dakika hiyo hiyo*.
 
Juzi nimemtoa out tumezunguka weeee namwambia twende guest house anasema siku nyingine.
Nikasema moyoni mbona hela na msosi hakusema siku nyingine?
Nikampeleka g/house nikamtafuna.
Cha mwanaume ni mwiiba.
 
Hahaha kwaio ulimbaka
Juzi nimemtoa out tumezunguka were namwambia twende guest house anasema siku nyingine.
Nikasema moyoni mbona hela na msosi hakusema siku nyingine?
Nikampeleka g/house nikamtafuna.
Cha mwanaume ni mwiiba.
 
Back
Top Bottom