nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 11,711
- 11,972
Nimeikumbuka sana kwaya kuu Iringa,
Sijui kwanini?Labda pengine kutokana na Discipline yao iliyotukuka.Si kwamba najaribu kuilinganisha na nyinginezo,la hasha ni kumbukumbu tu.
Kwa pembeni namuona mama Siyovelwa (ambaye Mzee Siyovelwa alishawahi shika madaraka tofauti,tofauti,nji hii,.Pia namuona Mzee Kasongo(R.I.P) na Mwl. wao Mella.
Pia Askofu Owdenburg Mdegella anaonekana,Daaah kumbukumbu Mujarab,Wallahi.