Nimeikubali hii...sina cha kuongeza...wewe je???

Mchezo woote upo 30 ya mwanzo... Ukichemka hapo lazima ugangamale ile mitano ijayo.... Ukichemka hapo.... IMO ndo unakua umechemka mazima thou sio lazima.... Kuna watu wamewahi toka kimaisha late 30s au early na late 40s....

Sure,

Mie nimemkubali jamaa anavyoelezea hicho kipindi cha ujana......!!

Ni kama vile anazungumzia historia yangu kabisa!!
 
mwana we ni noma! Umemguza kila m2 kwenye jamii inayo2zunguka! Dah!! Saluti m2 wangu wa nguvu, mwana!!!
 
mh? Mbona kama unaongea ukwel mana haya ndo maisha ya liokuwepo na yapo kwenye umri kama ulivyotaja mana hali ni ngumu sana
 
mwana we ni noma! Umemguza kila m2 kwenye jamii inayo2zunguka! Dah!! Saluti m2 wangu wa nguvu, mwana!!!

Hapana mzee...mie nime-copy na kupaste kazi za watu wengine ndiyo maana nimeweka na source...I deserve less of the credits for the contents!!
 
Back
Top Bottom